
Mdau Saidy (kulia) akimpa pole Nyanda mwenzake wa timu pinzani baada ya kuumia wakati wa gemu

maandalizi kabla ya gemu

kama kawaida maandali ndo yamekwiva. hizi pics tulipiga friendly match na wenzetu wa addis ababa {ethiopia] tumewabonda 3 kwa 1."KAMA KAWA TUNAKAMUA HADI NDOO TUTUE NAYO BONGO"....
MDAU SAIDY
BONGO FC
PUNE.INDIA
AMINIA MZEE WA LIBENEKE
jitahidini basi hata kikombe kimoja........... inaonyesha mwaka huu timu mnayo kweliiiiiiiiii.
ReplyDelete