
hivi hawa wanaoendesha pikipiki hapa mjini ni kwa nini wanakuwa hawasikii??maana wanaambia kila siku kwamba kama hujavaa helment basi usiendeshe pikipiki,lakini huyu jamaa helment anayo lakini kampa abiria wake na yeye kubaki na kipara chake.sasa sijui inakuwaje?
No comments:
Post a Comment