
maana mtu unakaa kwenye foleni weee mpaka unajikuta hata ukumbuku kuwa uliposimama si mahala pako bali na njia ya chombo kingine cha moto ambacho ukikigonga unaonekana wewe ndie mwenye kamosa.Duuh!!! hii hadha sijui ni lini itamalizima hapa kwetu jamani.
No comments:
Post a Comment