huku ni kama unaelekea kinondoni mkwajuni. na huku ni kama unawelekea Magomeni morocco hotel,amba ndio kulikuwa na balaa kubwa baada ya baadhi ya daladala kuhamia upande mwingine wa barabara na kusababisha foleni kuwa kubwa.
Barabara ya Kawawa Rodi sasa hapo umezungumza kibombo na kiswahili.
ReplyDelete