lakini swala la usalama wako liko chini ya nani??hawa ni vijana wanaosukuma mikokoteni kwa kusafirisha bidhaa ndogo ndogo zinazonunuliwa na baadhi ya wateja wanaotoka katika soko kuu ya Kariakoo wakiwa wamekaa katika vitendea kazi vyao chini ya tranfoma ya umeme.
No comments:
Post a Comment