HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 13, 2009

Mwanamitindo Wa Kimataifa Naomi Campbell Afanya Kweli Katika Shoo Yake Usiku Wa Kuamkia Leo

Mke wa Rais mama Salma Kikwete akiongea na Msanii na supa modo wa kimataifa Naomi Campbell wakati wa onesho la mavazi lililoandaliwa na Taasisi ya Utepe Mweupe kwa lengo la kusaidia mpango wa uzazi salama kwa wanawake wajawazito lililofanyika kwenye Hoteli ya Movenpick jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
Msanii na Mwanamitindo wa kimataifa Naomi Campbell akiwa jukwaani wakati wa onyesho la mavazi lililoandaliwa na Taasisi ya Utepe Mweupe kwa lengo la kusaidia mpango wa uzazi salama kwa wanawake wajawazito lililofanyika kwenye Hoteli ya Movenpick usiku wa kuamkia leo.Nyuma yake ni Bi. Rose Mlay Mratibu wa Utepe Mweupe Tanzania

Naomi Campbell akiongea na mmoja wa waandishi wa habari mara baada ya onyesho
Mama Salma Kikwete akiwa jukwaani na Balozi wa kimataifa wa Utepe na msanii na mwanamitindo baada ya kuzindua onesho hilo la mavazi. Shoto ni mbunifu Mustafa Hassanali ambaye alimvika Naomi na mamodo wengine.picha zote ni kwa msaada wa Issa Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad