msimu wa mananasi umeshaanza na sasa hivi kila kona unayopita hapa jijini hukosi kukutana na mmoja wa wauzaji wa matunda haya,ila jamaa wanayauza bei ghali kweli sasa hivi,sijui kwa sababu ni mwanzo wa msimu??
No comments:
Post a Comment