
"waaaooooo mai nanihiii wangu"

bichi yetu ya kujidai ya coco ikiwa imefurika watu jumapili ya jana

full nyomi

kuchimba dawa

mambo ya ki Van Damme nayo kama kawa pande za coco bichi

mambo ya kumeremeta nayo huwaga hayakosekani pande za coco bichi siku siku za wikiendi.
No comments:
Post a Comment