
sasa ona kama huyu jamaa hapa alichokifanya sijui hata amejiamini kitu gani mpaka anaamua kupanda gari kwa staili hii??halafu na dereva wa gari hilo anamuangali tu na kucheka kana kwamba ni kitu cha kufurahisha vile!!halafu mtu kama huyu akiteleza na kuanguka halafu gari lingine likampitia tunaanza kusema aahh.. ni kazi ya mungu,kazi ya mungu gani na wakati atakuwa amejitakia mwenyewe??wana usalama barabarani mko wapi??
No comments:
Post a Comment