
Mtoto wa mtaani akiwa amechapa usingizi kisawa sawa katika nguzo ya taa ya barabarani iliyoanguka katika barabara ya Bibi Titi Mohammed jijini Dar es Salaam jana bila kujali usalama wake kutokana magari kupita karibu yake. Picha na Fidelis Felix wa Mwananchi.
Serikali inasemaje ikiona picha kama hizi, jamii inasemaje ikiona picha ya mtoto mdogo kama huyu ambae anatakiwa awe darasani!
ReplyDeleteInatikiwa tuweke mpango madhubuti ktk kuwasaidia watoto wa namna hii.
Inatia huruma sana. Serikali angalieni swala hili, Gharama za mafuta za wabunge na mawaziri kwa mwezi zinaweza kutoa hili tatizo milele.
NaWaKiLiShA.