Mratibu wa shindano la The strongest man in dar,Ephrahim Kibonde akionyesha umwamba wake na yeye.
msaidizi wa The Strongest Man in dar ambaye pia ni mnyanyua vyuma vizito atambulikaye kwa jina la Names akifafanua jambo wa washiriki kabla ya kuanza shindano.
"oooohhhh"

wadau mbali mbali,wakitafuta taswirazz za tukio la The Strongest Man in Dar
Seba,Gasto,Mangilile,Kilambo Mko wapi?
ReplyDelete