Ndege hiyo ambayo ya mizigo inayosemekana kuwa ni kubwa kuliko ndege zote Duniani ilitua jijini Dar juzi kwa kushusha mizigi na kuondoka.ndege hiyo ambayo ni ya Kirusi ilionekana ni ya ajabu pindi ilipokuwa inatua katika uwanja wa ndege wa J.K. Nyerere International Airport,kiasi ambacho kila aliekuwepo jirani na eneo hilo alikuwa akishangaa ndege hiyo kutokana na ukubwa wake.picha na Mdau wa Mtaa Kwa Mtaa.
No comments:
Post a Comment