HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 23, 2009

Dawasco Kazini

Mafundi wa mamlaka ya maji safi na maji taka DAWASCO wakizibua chemba ya maji taka kwa kutumia mashine maalum ijulikanayo kama Jeting Machine katika mtaa wa Mkunguni Kariakoo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad