HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 3, 2009

Boss Wa Clouds Media Group Afariki Dunia

Mwenyekiti mtendaji wa Clouds Media Group,Bw Alex Kusaga ambaye ni baba yake mzazi na Joseph Kusaga,amefariki leo jioni nchini Afrika ya Kusini ambako alipelekwa kwa ajili ya matibabu.

Kwa taarifa zaidi tutaendelea kujulishana kadri zitakavyokuwa zinatufikia.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMIN

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad