HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 20, 2009

Boda La Mbagala Hilo

huu ndio muonekano mpya wa barabara ya kilwa rodi kuelekea mbagala rangi tatu ambapo ndipo ulipoishia uzuri wa barabara hii,picha hii nimepiga mchana wa leo nilipokuwa naelekea kwenye mnuso huko huko mbagala.

1 comment:

  1. Kilwa tumeeiona kaka lakini mbona mtaa wa ligi ya uingereza umekuwa kimya sasa ama ndio umesususa kabisa?

    ReplyDelete

Post Bottom Ad