
siku hizi usafiri wa pikipiki umeshika kasi sana katika jiji la dar,ambapo huwezi kutembea hatua kumi bila kupishana na pikipiki tatu au nne.hii inaonyesha ni namna gani maendeleo ya nchi yanavyopiga hatua kwa kwenda mbele.tena siku hizi hata huangaiki sana kutafuta hizi pikipiki maana maduka yake yapo hadi mtaa wa congo kariakoo.
No comments:
Post a Comment