
Rais Jakaya Kikwete akikabidhi usafiri aina ya Bajaji kwa mwanamke ambaye ni mlemavu anaefahamika kwa jina la Sara Mageni Sanga aliyekaa chini katika kijiji cha Lupalilo,Wilayani Makete,mkoa wa Iringa jana jioni.Pembeni ya Rais kwa upande wa kulia ni mkuu wa mkoa wa Iringa Bwana Mohamed Abdulaziz
No comments:
Post a Comment