
tulianza kwa kumuona Mkali huyu wa hapa Nyumbani,anaefahamika kama Afande Sele

na juzi kati hapa katika tuzo za MTV zilizofanyika jijini Nairobi nchini Kenya,tukaona na hawa wanamuziki wa Kimarekani,Akon na mwenzake Wyclife Jean wakifanya vitu hivi.sasa nimeshindwa kuelewa kwamba hii nayo ni moja ya vionjo vya muziki au inakuwaje??maana yaweza kuwa mimi ni mgeni katika mambo haya hivyo tusaidiane kuwekana sawa.
Kaka bangi za bongo ni noma na si kila kichwa kinaweza himili mikiki mikiki yake!
ReplyDeleteunajua Bange siyo sigara! na pia kuvuta leo usiseme imekwisha,madhara yake huja hata ukiwa mzeee.
ReplyDeletesasa we unafikiri mambo yatanoga vipi bila kufanya hivyo? Akon kaniboa bwana kwa nini hakuimalizia tu yote kabaki kuishangaa wakati ni yake?
ReplyDelete