
NAPENDA KUTOA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KABISA KWA MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI KWA KUKIWEZESHA KIJIJI HIKI KUFIKA HAPA KILIPO,PILI NAPENDA KUTOA SHUKRANI ZANGU KWENU NYINYI WADAU WOOTE WA BLOG YETU HII KWA KUIFANIKISHA KUFUKA HAPA ILIPOFIKA KWANI NAAMINI KABISA KWAMBA BILA NYINYI BASI LEO HII TUSINGEKUWA NA BLOG YETU HII,NAWASHUKURU SANA TENA SANA KWA HILO.
WADAU WAPENDWA NAOMBA KUWATAARIFU KWAMBA LEO TAREHE 05 OCTOBA 2009,BLOG YENU HII INATIMIZA MIAKA MIWILI TASLIM BILA HATA CHENJI KURUDI KATIKA GEMU LA KUBLOG.BLOG YENU HII YA MTAA KWA MTAA ILIZALIWA RASMI TAREHE 05 OCTOBA 2007,IKIWA KATIKA LINK YAKE YA
AMBAPO IMEWEZA KUKAA KATIKA GEMU MPAKA HII LEO,NA TUZIDI KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU AJAALIE ZAIDI NA ZAIDI ILI IWEZE KUDUMU KWA MUDA MREFU ZAIDI YA HAPA.PIA NAPENDA KUTOA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KABISA KWA WANABLOG WOOTE WALIOPO KATIKA KILA PANDE YA DUNIA HII KWA MCHANGO WAO MKUBWA SANA KWANGU NA KWA BLOG KWA UJUMLA,NAWASHUKURU SANA TENA SANA KWA MAONI YENU,USHAURI WENU NA PIA MAELEKEZO YENU KATIKA KUENDELEZA LIBENEKE HILI LA KUBLOG.
PIA NAPENDA KUTOA SHUKRANI ZA PEKEE KWA MZEE WA LIBENEKE MKUU ISSA MICHUZI NA MKUU AHMAD MICHUZI
KWA DARASA LAO ZURI LA KUNIWEZESHA KUENDELEZA LIBENEKE LILILO BORA KABISA,NAKUSHUKURU SANA KWA HILO MKUU ISSA MICHUZI.WADAU KWA SASA LIBENEKE NDIO LIMEZALIWA UPYA,HIVYO BASI NAOMBA MSISITE KULETA MIJADALA,PICHA,KUTUMIANA SALAM,KUSAIDIANA KUTAFUTA MTU ULIEPOTEZANA NAE SIKU NYINGI NAKADHALIKA.
NAOMBA MNITUMIE KUPITIA
NAWASHUKURU SANA TENA SANA WADAU WOOTE WA BLOG YETU HII YA MTAA KWA MTAA.
PAMOJAH WADAU
MICHUZI JNR
HAPPY BIRTHDAY Mtaa kwa Mtaa
ReplyDeleteNi mengi saana tunapata hapa na tunajivunia kujua mengi yaendeleayo mtaani kupitia hapa.
Ni kijiwe, ni makutano na ni BARAKA kuwa nawe mtandaoni
Happy Birthday
happy birthday mtaa kwa mtaa many happy returns of the day :)
ReplyDeleteHongera kwa siku ya kuzaliwa Mtaa kwa mtaa, Tupo pamojah!Daima!
ReplyDelete