HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 17, 2009

Fiesta Wani Lavu Yapagawisha Mkoani Mara

Msanii kutoka Chama kubwa Wanaume TMk Familya na Tip Top Connections,Chege Chigunda akikamua jukwaani usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa ufukwe wa totel ya pennisula
Msanii wa kizazi kipya anayetamba na wimbo wake wa Pipii Marlow akonesha staili yake ya kucheza kwa wakazi wa musoma ambao wameuitikia wito wa fiesta kwa kiasi kikubwa kiukweli
Mkurugenzi wa Clouds Mediaa Group/Prime Time Promotionsa Bw.Joseph Kusaga akimsikiliza mstahiki meya wa Musoma Bw. Swahibu Mohamed Iddi alipozindua tamasha la fiesta 2009 ulokwenda na utambulisho wa frikwensi mpya za redio ya Clouds Fm mkoa wa Mara ambaoyo ni 98.6
Msanii kutoka kundi la The Familia Chid Benz akikamua kwenye tamasha la fiesta usiku wa kuamkia leo
Umati wa watu uliofika kwenye tamsha la fiesta one love 2009 usiku wa kuamkia leo
Mr blue akiimba mbele ya wakazi wa musoma mkoani Mara usiku wa kuamkia leo katika tamasha la fiesta one love lililofanyika katika ufukwe wa hoteli ya penissula
Kiongozi wa msafara huo ambaye pia ni mtangazaji wa Clouds TV,Dataza akizungumza machache kwa niaba ya wasanii wenzake
Baadhi ya wasanii wa bongofleva wakiweka masha kwenye kaburi la hayati baba wa Taifa,Julius Kambarage Nyerere
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambao wako kwenye ziara ya fiesta one love 2009 walitinga kijiji cha Butiama kuangalia kaburi la hayati baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hivi karibuni kabla ya kuelekea musoma ndani ya mkoa wa Mara.Pichani wakielekea kuingia sehemu ilipojengewa kaburi la hayati baba wa Taifa.gonga hapa kwa picha zaidi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad