HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 12, 2009

Fiesta One Love 2009 Ilivyokuwa Huko Jijini Mwanza‏

Baby Madaha akipagawisha wadau wa Mwanza kwa kucheza na kuimba katika Fiesta one love,jioni ya jana katika uwanja wa CCM Kirumba.
Watangazaji wa Clouds,shoto ni G Sengo kituo cha Mwanza akiwa na Adam Mchovu wakishoo loveMsanii wa muziki wa kizazi kipya Marlow ambaye anatesa na wimbo wake wa Pipi akionesha manjonjo yake ya kucheza wimbo huo mbele ya wakazi wa jiji la mwanza waliofurika kwenye tamasha la fiesta one love 2009 ndani ya uwanja wa ccm kirumba jana jioni.
Pamoja na uwingi wa watu katika kamuzi la fiesta one love aliyethubutu kuleta fujo alitolea mkuku ile mbaya,kama anavyoonekana huyu jamaa alivyobebwa juujuu na wanausalama.katika tamasha la fiesta ulinzi na usalama ni wa kutosha kabisa.
Joe Makini akikamua ndani ya tamasha la fiesta one love 2009,mbele ya wakazi wa mwanza ambao walifurika kwa wingi uwanjani hapo
yaani ilikuwa ni full nyomi babakee.. Chid Benzi kutoka kundi Familia akiimba mbele ya umati mkubwa wa kazi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kuwashuhudia wasanii wa kizazi katika uwanja wa ccm kirumba
Wakazi wa jiji la mwanza wakila shangwe la ukweli la fiesta one love 2009 ndani ya uwanja wa ccm kirumba jana jioni.kwa mapicha zaidi twendeni huku>>>

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad