HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 28, 2009

Da'Subi Aja Na Kitu Kipya

Da'Subi anapenda kutangaza kwamba
www.wavuti.com
imechukua nafasi ya iliyokuwa nukta77.com na nukta77.blogspot.com.
Anaomba yeyote aliyekuwa ameweka linki ya nukta77 aihariri na kuweka wavuti.com

Karibuni sana kutembelea kwa taarifa za nafasi za masomo na kazi kwa burudani na bila kusahau habari na porojo!
Asanteni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad