
jamaa mmoja ambaye jina lake halikuweza patikana kwa haraka aliekuwa akiendesha gari aina toyota mark II lenye nambari za usajili T 169 ALJ,alipoteza muelekeo barabarani na kuenda kuuvaa mti uliokuwa pembezoni mwa barabara ya Mtongani,mbezi beach.chanzo cha kuuingia mti huo hakikufahamika.
Mchezo uleule wa kuendesha wakiwa wamefumba macho.
ReplyDelete