HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 18, 2009

Wenye Haraka Zao Haooo!!!

hii ngoma ni usiku huu katika barabara ya ukonga katika maeneo ya sitaki shari.
sasa hata sijui wanaharakishia nini na ili hali wanawaona wenzao wakiwa katika folenii??au wanaona hawa waliopo kwenye foleni hawana haraka??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad