HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 8, 2009

Uwanja Wa Sokoine Jijini Mbeya

nilipokuwa jijini Mbeya Miezi kadhaa iliyopita,nilibahatika kuzama ndani ya wanja la kusakatia Kabumbu la Sokoine ambalo ndilo wanja tegemezi jijini humo.kiuweli huu uwanja ni mzuri sana ila tatizo kubwa linaloukabili uwanja huu ni kuchukuliwa poa tu katika swala la usafi,yaani kipo kipo tuu siku zote hivyo hivyo.sasa sijui viongozi wa wanja hili huwa halioni tatizo hilo??.hapo nipo na washkaji zangu,shoto ni Ally,mie kati na Juma tukiwa ndani ya wanja la Sokoine.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad