
waumini wakiwa katika safu zilizonyooka kabisa kabla ya swala ya Eid el Fitr katika msikiti wa Makonde uliopo mtaa wa Nyamwezi na Amani,Kariakoo asubuhi ya leo

baada ya Swala ya Eid el Fitr katika msikiti wa Makonde,nilipata picha ya pamoja na Maustaadh hawa,toka shoto ni Ustaadh Said,Ustaadh Issa,Ustaadh Mie (mwenye kanzu ya pekee katika picha hii),Maalim Ramadhan Ndassi,Maalim Challa pamoja na Ustaadh Mohamed.
Eid Mubarak Brother
ReplyDeleteSAFI SANA
ReplyDeleteHaya bwana, anzisheni Mahakama yenu ya Kadhi bila fedha zetu za kodi.
ReplyDelete