
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata tepe kwa kuashiria ufunguzi rasmi wa tawi jipya la Benki ya FBME lililofunguliwa huko Arusha.alie kushoto kwa Rais ni Mwenyekiti wa Benki hiyo Bw.Ayoub Saab.

Rais Jakaya Kikwete akisikiliza maelezo toka kwa meneja wa Federal Bank of Middle East (FBME) tawi la Arusha Bi. Susan Mlay baada ya kulizinduwa rasmi leo asubuhi na Rais Kikwete. Kati yao ni bosi mkuu wa FBME Bw. Ayoub Saab.picha na Freddy Maro
chakuongelea kikochini. mamboya kikwete.
ReplyDeleteJK majaribuni.
ReplyDeleteBaba yetu ulie mbinguni .............usitutie majaribuni...... Yangu macho
ReplyDelete