sijui sasa hivi ndio imeruhusiwa rasmi???maana hapa foleni hakuna lakini ndinga zinajinyoosha kama kawa njia ya tatu.hapa ni jangwani ukitokea magomeni mapipa.
Kutafuta ajali tuu sasa kam hakuna foleni inakuwaje uendeshe upande wio wako?
ReplyDelete