hapa hii ngoma ilikuwa imebuma (yaani imemalizika mafuta katikati ya safari) huku abiria waliokuwemo katika gari hiyo waligoma kuteremka kutoa msaada wa kulifikisha gari hiyo katika kituo cha mafuta,hivyo ilimbidi kondakta wa gari hiyoo pamoja na shanta wake kuteremka na kuanza kulipiga kibega.
No comments:
Post a Comment