HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 28, 2009

Msala Wa Asubuhi Asubuhi

mchuuzi wa samaki (shoto) akipatana na mtasha baada ya kugongwa na gari ya mtasha huyo asubuhi hii katika makutano ya Samora avenue na Morogoro Road,akiwa amebeba samaki tayari kwa kwenda kufanya biashara.
baadhi ya samaki wakiwa chini baada baiskeli iliyokuwa imebeba samaki hao kugongwa na gari.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad