
Lori la mizingo ambalo inasemekana ni mali ya KLM Trasport,lenye namba za usajili T 934 ASM likiwa limepotea njia na kuparamia nyumba na kusababisha kupoteza maisha kwa mtu mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Ndete mkazi wa Kimara Mwisho jijini Dar.Hii ni mara ya tano katika kipindi cha miaka miwili kwa malori kama haya kuparamia nyumba na kusababisha vifo vya watu kadhaa.
No comments:
Post a Comment