lori la kubeba mchanga likiwa limeharibika vibaya vibaya mara baada ya kuigonga treni ya mizigo katika eneo la Makulu mjini Dodoma jana,ajali hiyo ilitokea baada ya lori hilo kukatiza reli katika sehemu ambayo haina kivuko. Hakuna aliyeumia katika ajali hiyo.
MADELEVA WA BONGO WANASHINDANA KUENDESHA UMBALI MREFU WAKIWA WAMEFUMBA MACHO.
ReplyDelete