NDUGU WADAU WAPENDWA,
NAOMBA KUTOA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWENU KWA KUFANIKISHA KULIENDELEZA LIBENEKE LETU HILI LA MTAA KWA MTAA NA KUWEZA KUFIKA HAPA LILIPOFIKA SASA,MAANA BILA JUHUDI ZENU ZA KUCHANJA MBUGA KATIKA LIBENEKE HILI BASI KUSINGEKUWA NA MAANA YA KUWEPO LEO KWA LIBENEKE LA MTAA KWA MTAA,NA KWA KUWA MBELE YETU KUNA SIKUKUU YA EID EL FITR,BASI NAOMBA KUFUNGUA RASMI MLANGO WA SALAMU ZA EID KWA WADAU WOOTE NA POPOTE PALE WALIPO,SALAM ZENU MTANITUMIA KUPITIA
jamiothman@gmail.com
NAMI NITAZIWAKILIZA KAMA IPASAVYO KATIKA WANJA LETU HILI LA MTAA KWA MTAA.NAOMBA MSISITE KUFANYA HIVYO WADAU WANGU WAPENDWA MAANA BLOG HII NI YENU.
NAOMBA KUWASILISHA.
-MICHUZI JNR
No comments:
Post a Comment