washkaji wakiendeleza libeneke la kuchoma vitumbua katika mtaa wa Mosque street,vijana wengi sasa hivi hapa mjini wameamua kujiajili wenyewe kwa kujishughulisha na mambo mbalimbali ili kujikwamua na hali ngumu ya maisha.
Piga kazi mjombo.
ReplyDelete