hii ndio bongo bwana asikwambie mtu,maana hakuna kitu kinachoshindikanika hata siku moja.wao si waliiba mfuniko sasa sisi tunaweka miti tuone kama na huu wataiba.
Othman!!!! we muhuni sana, nimecheka kishenzi baada ya kuona hii post, big up kinoma. true comedian.
ReplyDeleteNaWaKiLiShA.