pamoja na kwamba namba za usajili wa magari yoote hapa bongo kubadilishwa lakini hii ndinga bado inadunda tuu na namba zake za zamani kama nilivyoikuta leo hii mitaa ya kati ikipiga misele,halafu haina taa wala nini.
No comments:
Post a Comment