HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 9, 2009

Hawa Jamaa Sijui Wanaaleji Na Vituo!!??

maana hawawezi kupaki gari katika vituo husika hata siku moja,sasa ona kama alivyopaki halafu na mwingine kule mbele nae anapati hivyo hivyo.sasa sijui ndio kusema wanaaleji na vituo hivi??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad