Mdau Habib Mozzy anayo furaha kubwa sana siku ya leo ikiwa ni katika kusherehekea siku kuu yake ya kuzaliwa,Habib alizaliwa tarehe 14 september miaka mingi iliyopita hivyo siku hii ya leo inamuongezea namba nyingine katika umri wake.kaka Habib nakutakia kila la kheri na Mwenyezi Mungu akujaalie uendelee vyema kulisongesha hili gurudumu la maisha.PamoJah sana Kaka.

No comments:
Post a Comment