HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 5, 2009

David Robert Azindua Albam Mbili Kwa Mpigo

Mwimbaji wa muziki wa injili David Robert akiimba wakati wa uzinduzi wa Albam zake mbili za The Best of David Robert na Adui Yangu,uzinduzi huo ulifanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Hoteli ya Millenium Peacock Hotel.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Jordan Rugimbana aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa albam za muimbaji wa muziki wa injili David Robert ambazo ni The best of David Robert na Adui yangu, uzinduzi huo umefanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Millenium Peacock Hotel kushoto ni David Robert Mwenyewe na kulia ni Mc Shiyo ambaye ni Mtangazaji wa PrisePower Radio.
Mashabiki wakifurahia wakati mwimbaji David Robert akitumbuiza kwenye uzinduzi huo

1 comment:

  1. Naona ilikuwa shughuli ya kufana sana. Tunakutakia kila la heri.

    Bro. Godfrey

    ReplyDelete

Post Bottom Ad