msela akiwa kala bonge moja la pozi katika nguzo zilizopo Bandari ya Zanzibar,akijitafutia kitoweo chake cha daku kwa raha zake.na inavyoelekea hapo panapatikana sana vitoweo ila watu wengine hawajuagi tu.
No comments:
Post a Comment