Ujue kuna viumbe vingi sana vya ajabu baharini. Bila shaka huyo samaki aliuzwa kwa bei nzuri sanaMama M.
kwa kingereza anaitwa smalltooth sawfish.Calvin
hI VI HUYU SIYE SAMAKI ALIYEKUWA KWENYE SENTI TANO YA TANZANIA?
duu mdau hapo juu una kukumbuku nzuri ajab ,huyu samaki ndohasa yule katika senti tano
Atakuwa anaitwa Mkizi...
huyu ni jamii ya PAPA,hao jamaa wapo kabila nyingi kichizi,duuh tizama domo lile ka msumeno ha ha haaa.
Ujue kuna viumbe vingi sana vya ajabu baharini. Bila shaka huyo samaki aliuzwa kwa bei nzuri sana
ReplyDeleteMama M.
kwa kingereza anaitwa smalltooth sawfish.
ReplyDeleteCalvin
hI VI HUYU SIYE SAMAKI ALIYEKUWA KWENYE SENTI TANO YA TANZANIA?
ReplyDeleteduu mdau hapo juu una kukumbuku nzuri ajab ,huyu samaki ndohasa yule katika senti tano
ReplyDeleteAtakuwa anaitwa Mkizi...
ReplyDeletehuyu ni jamii ya PAPA,hao jamaa wapo kabila nyingi kichizi,duuh tizama domo lile ka msumeno ha ha haaa.
ReplyDelete