
kila siku zinavyozidi kwenda na ndivyo watoto hawa wa mitaani wanavyozidi kuzagaa hapa mjini,na ukiangalia watoto wote hao kwa umri walionao kwa asilimia kubwa ni wale ambao ingetakiwa wawe mashuleni wakisoma lakini kwa sasa ndio wako humu mabarabarani.ni kitu gani kifanyike ili hawa watoto waweze kuondolewa humu mabarabarani?? maana wanazidi kuongezeka kila siku.
No comments:
Post a Comment