
Mfanyabiashara ya vocha za simu akiwa kajiweka kwenye kibanda cha kupigisha simu cha TTCL ambacho hakitumiki tena na kampuni hiyo kwa sasa kitu ambacho kilimfanya mfanyabiashara huyu kujimilikisha kibanda hicho na kuendeleza libeneke lake kama kawa.picha na Father Kidevu Blog
Ni kitu kizuri kuwa mbunifu na kutumia vyanzo vyote vilivyopo kwa kujiwekea kipato. Ni moja wapo ya recycling!!.
ReplyDeleteNilikua na wakati mgumu kuchangia mawazo yangu,lakini naona ss maambo mswano,gud job.
ReplyDeleteHii imekaa vyema kati ya muhusika na wapangaji wake
ReplyDelete