hivi ndivyo inavyokuwaga nyakati za jioni tunapopata usafiri wa kurudi nyumbani,kama huna nguvu basi ujue utabaki hapo mjini kwa muda mrefu lakini kama uko gado kama hawa basi utafika nyumbani kwako mapema tuu.
No comments:
Post a Comment