
kina mama wanaoonekana kuwa ni wengi kuliko kina baba,wakiwa wamezunguka eneo kupigia minada samaki pindi wafikapo katika soko hilo la samaki lililopo kule Fery,wadau hawa wamekuwa wakulalamika sana kipindi hiki kuwa samaki wamekuwa ni wachache sana na bei yake imekuwa kubwa pindi wanapopatina.sasa sijui ni kutokana na nini mpaka inakuwa hivi??
No comments:
Post a Comment