HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 22, 2009

Pikipiki Famili

usafiri wa piki piki ni mzuri sana ila inapofikia wakati wa mishe mishe hapo ndipo inapokuwa ngoma,hapa msela alikuwa amekula nyomi la Familia yake akielekea zake chachi kujinyakulia point tatu toka kwa saa God.

1 comment:

  1. inamaana jamaa anajijali yeye tu kwa kuvaa hilo jikofia wengine litakalokuwa na liwe haa!!!!!!!! haaaa!!!!!! kazi kweli kweli

    ReplyDelete

Post Bottom Ad