
Miss Univesy Tanzania 2009, Illuminata Wise bado anaendelea kudunda huko Bahamas kusaka nafasi ya urembo wa Dunia,hivyo tutapaswa tuendelee kumpigia kura zaidi na zaidi na pia kumuombea dua ili aweze kushinda taji hilo.kura yako utaweza kupiga kupitia mtanda huu
http://www.missuniverse.com/members/profile/41815
No comments:
Post a Comment