
kipleft ya Tabata relini

kutuo kipya cha Daladala kilichopo Tabata Segerea.bado hakijafunguliwa rasmi lakini libeneke la kupaki linaendelea kama kawa.


boda la Kinyerezi na Segerea,ukushapandisha hicho kilima mkono wa kushoto ndio kuna njia ya kuelekea katika Gereza la Segerea.

njia panda,ukinyoosha moja kwa moja unaelekea Kinyerezi na ukikata kulia unaelekea Segerea.kiukweli sasa hivi Tabata iko juu sana kimaendeleo maana ni mkeka tu kutokea Sitaki Shari Ukonga mpaka barabara ya Mandera rodi,yaani ni poa kweli kweli.
No comments:
Post a Comment