MADEREVA WA MABASI WALIOKUWA WAMELETA MGOMO WA KUSAFIRISHA ABIRIA KWA SIKU YA LEO STENDI KUU YA MABASI UBUNGO HATIMAE WAMEMALIZA MGOMO WAO HUO NA KUENDELEA NA SAFARI ZA KWENDA MIKOANI KAMA KAWAIDA.
UAMUZI HUO WA KUMALIZIKA KWA MGOMO HUO UMEKUJA MARA BAADA MAZUNGUMZO NA MAKUBALIANO YALIYOFANYIKA BAINA YA KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM YA DAR AFANDE SULEIMAN KOVA NA SUMATRA WALIPOKUTANA NA UONGOZI WA MADEREVA WA MABASI HAYO STENDI KUU YA MABASI UBUNGO.
HIVI SASA MABASI YOOTE YAMEANZA KUTOKA STENDI HAPO NA KUENDELEA NA SAFARI ZAO ZA KWENDA MIKOANI NA NCHI JIRANI KAMA KAWAIDA.
MADAI YAO MAKUU NI KWAMBA ASKARI WA USALAMA BARABANI KATIKA NJIA KUU WAMEKUWA NA TABIA YA KUWANYANYASA KWA KUWAPIGA BAO NA TOCHI ZAO ZA KUGUNDUA MWENDO WA KASI, WAKIDAI JAMAA WAMEKUWA WANANUKA RUSHWA KWENYE KAZI HIYO NA HAKUNA DALILI ZA KUKOMA.
MADAI YAO MENGINE NI KULALAMA JUU YA KUHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 30 JELA DEREVA MWENZI WAO, WAKIDAI KWAMBA ENDAPO WAHUSIKA WA KILA UPANDE WANGEKUWA MAKINI MATATIZO KAMA HAYO YASINGETOKEA.
VIONGOZI HAO WANAKUTANA LEO SAA KUMI JIONI KUUNDA KAMATI ITAYOKUTANA NA UPANDE WA SERIKALI JUMATATU ILI KUJADILI NJIA MUAFAKA WA KUTATUA MATATIZO YAO NA YA USALAMA BARABARANI.PICHA NA HABARI NI KWA HISANI YA

No comments:
Post a Comment