HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 5, 2009

Mbuzi Katikati Ya Reli


hapa ni maeneo ya Mabibo katika reli itokayo Ubungo kuelekea stesheni,nimewakuta Mbuzi hawa wakiwa wamefingiwa kwenye mataluma ya reli hiyo huku wakiendelea kujidai kwa kula majani yaliyopo pembezoni mwa reli hiyo.sasa sijui likija lile jidude linatotumiaga hiyo njia,hawa mbuzi watajifungua wenyewe na kuolipishaa??maana lile huwaga haligongagi bali huwaga linagongwa tuu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad